Michezo

Simba yapigwa faini ya 500,000

Timu ya Simba SC imetozwa faini ya sh 500,000 (laki tano) kwa kosa la washabiki wake kurusha chupa tupu na zenye maji uwanjani na kusababisha mpira kusimama kwa zaidi ya dakika tatu hadi Polisi walipoingilia kati kutuliza ghasia hiyo.

Tukio hilo lilitokea katika mchezo uliochezwa Aprili 24 2021 kwenye Uwanja wa Gwambina Mkoani Mwanza. Adhabu hii imetolewa kwa kuzingatia  kanuni ya 45 (1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Klabu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents