HabariMichezo

Simba yatambulisha kocha mkuu mpya

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Roberto Oliveira (69) kama kocha mkuu mpya klabuni hapo baada ya kocha huyo kuachana na waajiri wake wa zamani Vipers SC ya Uganda.

“Ni kocha ambaye inatakiwa atizamwe vizuri na tunategemea kupata ushirikiano mzuri kutoka kwa wapenzi” sehemu ya maneno ya Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu akimtangaza kocha mpya wa timu hiyo Roberto Oliveira raia wa Brazil.

Kwa mujibu wa Mangungu kocha huyo amepewa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza kutokana na ufanisi wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents