Michezo
Simba yavuna Noti kufuru (Video)
Kutinga makundi kumeihakikisha Simba kubeba Dola 400,000 (zaidi ya Sh 1 bilioni), lakini ilivuna pia Sh 15 milioni za Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kampeni ya ‘Goli la Mama’ kutokana na mabao matatu iliyofunga ambayo kila bao thamani yake ni Sh5 milioni.