Simi aachia wimbo mpya ‘Woman’ (Video)

Mwanamuziki mahiri kutoka Nigeria, Simisola Oginleye kosoko aka Simi ameachia wimbo wake mpya unaenda kwa jina “Woman

Wimbo Huu Maalum Uko katika namna ya kuwainua na kusherekea Maisha ya wanawake katika jamii

Unaweza kuutazama kupitia YouTube au application zote za kusikiliza muziki duniani.

Katika kuulezea wimbo huo Simi alisema “ Namshukuru kwa kila Mwanamke ambaye Amesimama katika nafasi tulio nayo. Na naamini katika mbegu tunazozipanda kufika mbele zaidi.

Karibu kutazama video na Kusikiliza.

Related Articles

Back to top button