Awards
Simi msanii bora wa kike Afrika Magharibi, AFRIMMA 2021
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Simi amefanikiwa kushinda tuzo ya msanii bora wa kike Afika Magharibi wa mwaka katika tuzo za AFRIMMA 2021.