#TETESI Simon Msuva amepokea Ofa kutoka Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria wakihitaji saini ya mchezaji huyo wa Tanzania.
Msuva tayari yupo Algeria kwaajili ya kukamilisha dili hilo baada ya kuwa huru tangu kandarasi yake na Al- Qadsiah FC ilipomalizika.
Inadaiwa Klabu ya CR Belouizdad imemuandalia Staa huyo wa Tanzania zaidi ya Bilioni moja.
Imeandikwa na @fumo255