HabariMichezo

Singida Big Stars 0-1 Yanga, Fainali ni Wananchi na Azam FC

Fiston Mayele anaipeleka @yangasc Fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup baada ya goli lake pekee dhidi ya Singida Big Stars.

Yanga watakutana na @azamfcofficial kwenye Fainali Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.

Young Africans wapo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup na tayari wametwas Ubingwa wa Ligi Kuu, huu ni msimu bora kuwahi kutokea kwa Wananchi @yangasc
Credit by @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents