Michezo
Singida Black Stars watuka kupora beki KMC

ABDALLAH SAID UPDATES – Klabu ya KMC imepokea ofa kutoka Singida Black Stars ikihitaji saini ya beki wa kulia, Abdallah Said maarufu kama Lanso kwa msimu ujao. – KMC hawahitaji kumuachia Lanso katika kipindi hiki labda kama itatokea tofauti mbeleni, Lanso bado ana mkataba.