Michezo
Singida wavamia kambi ya mchezaji TP Mazembe

🚨Singida Black Stars SC wamevamia kambi ya mchezaji Ibrahima Keita(23) kuwania saini yake
Singida BS wamelazimika kutafuta beki mwingine wa kulia baada ya Koffi Cirille kupata majeraha na kukosa usaidizi kikosini