Michezo
Singida wawavalia njuga Simba

Updates 👇
➡️ Kikosi cha Singida Black Stars kitaondoka Pemba kesho Jumamosi Aprili 26 kuelekea jijini Arusha kuweka kambi kwaajili ya mechi zijazo za NBC PL na Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
✅ Singida wana mechi mbili dhidi ya Simba Sc Mei 14 (NBC PL) na Mei 16-18 (CRDB)