Sir Alex Ferguson akutana na Rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi, kueleka mtanange wa leo UEFA

Kueleka mtanange wa kukata na shoka kati ya vilabu viwili vikubwa duniani PSG ya Ufaransa na Manchester City ya Uingerza katika michuano ya UEFA.

Habari kubwa ni kuhusiana na aliyewahi kuwa kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson kwenda hotelini (Lowry Hotel) walipofikia PSG na kuonekana wakitoka hotelini na boss wa PSG  Nasser Al-Khelaifi.

Mchezo wa kwanza Manchester City walishinda kwa goli 2-1 dhidi ya PSG ambapo walicheza ugenini jijini Paris.

Unahisi Babu Ferguson akitiwa nini na rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi. ?

Related Articles

Back to top button