Michezo
Sitaki Mwanamke apende pesa zangu – Aucho

Daktari wa Mpira @auchokhalidofficial anasema anataka Mwanamke anaempenda sio sababu ya pesa alizonazo, Aucho anaenda mbali zaidi kwa kusema hela za kuoa anazo ila hataki mtu ampende sababu ya hela.
Cc: Yanga TV (YouTube)