Siyapendi makalio yangu – Rihanna

Ukimuuliza mtu yeyote duniani,kati ya wanamuziki wenye mvuto zaidi, jina la Rihanna haliwezi kukosekana kutajwa.

Lakini hivi karibuni, Rihanna ametushangaza wote kwa kuweka wazi sehemu ya mwili wake ambayo haipendi kuliko vyote.

Amekieleza chombo cha habari cha E! kwamba, “Kila mwanamke huwa na tabia ya kujiatzama kwenye kioo, na kujikagua zaidi hata ya dunia inavyokukagua. Binafsi huwa najiangalaia na sipendi makalio yangu yalivyo. Huwa naangalia kila siku kuona kama yameongezeka ukubwa lakini kila siku nayaona ‘flat'”

Tazama picha hizi utuambia wewe unaonaje mdau.

Related Articles

Back to top button