BurudaniHabariVideos

Snura afunguka mazito kwa Wema Sepetu (Video)

'Nipo tayari kumbebea hata mimba 10'

Bongo5 imefanya mahojiano na balozi wa @vanillainternational @snuramushi akiwa ofisini kwake SkyTower baada ya wiki chache zilizopita Malkia wa Filamu Wema Sepetu kumtaja msanii huyo wa muziki kwamba ndio rafiki yake ya kweli katika maisha yake.

Kuhusu tatizo la kutopata mtoto, Snura amesema moja kati ya vitu ambavyo vinamuumiza sana ni tatizo la Miss Tanzania huyo kuwa na tatizo la kutopata mtoto.

Snura amedai kuna wakati anatamani ambebee mimba kama dini itakuwa inaruhusu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents