Burudani

Snura sasa ni mkulima, Kurudisha pesa aliyovuna kupitia muziki?(Video)

Aliyekuwa msanii wa muziki Snura mushi amatangaza rasmi kuachana na shughuli zote za kisanaa na maamuzi hayo ameyatoa baada ya kukaa kimya kwa miaka miwili.

Akiongea na Bongo5 Media amesema kuwa ameachana na maswala yote ya muziki na kuwaomba watanzania wote vikiwemo vyombo vya habari kutocheza nyimbo zake na kufuta kila kitu kinachohusiana na muziki wake alioufanya.

Kwa sasa Snura ameweka wazi kazi anayofanya baada ya kuachana na mziki, ameamua kujikita kwenye kilimo cha zao la nyanya.

Kwa mahojiano zaidi tembelea channel yetu ya YouTube

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents