Habari

Soko la Karume Dar es Salaam lateketea kwa Moto

Soko la wafanyabiashara wadogo la Karume lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam limeungua kwa moto alfajiri ya leo.

Kufuatia mkasa huo, Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara hao kutokana na hasara kubwa inayotokana na kuungua kwa soko hilo.

Mkuu wa wilaya ya Ilala Ng’wilabuzu Ludigija amefika kwenye soko hilo kwa ajili kufanya tathmni ya uharibifu uliosababishwa na moto huo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents