Spika Ndugai aunda tume ya wajumbe 9

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameunda Kamati Maalumu ya wajunge tisa (wabunge) itakayochunguza suala la uchimbaji wa Madini ya Almasi hapa nchini ambayo itafanya kazi  ndani ya siku 30. Spika Ndugai ametoa orodha ya Wabunge hao leo bungeni mjini Dodoma wakati wa kuhairishwa kwa Bunge. “Naomba nitoe ufafanuzi wa … Continue reading Spika Ndugai aunda tume ya wajumbe 9