Sporah ashambuliwa baada ya kupost video akimwagiwa ndoo ya maji ya barafu kuunga mkono ‘Ice bucket Challenge’

Mtangazaji wa kipindi cha ‘The Sporah Show’ kinachoruka kupitia Clouds Tv, Sporah Njau ameshambuliwa na mashabiki baada ya kupost video ya inayomuonesha akimwagiwa ndoo ya maji ya barafu, kama ishara ya kushiriki kampeni ya ‘Ice bucket Challenge’ inayofanywa Marekani kuhamasisha kuchangia utafiti juu ya ugonjwa wa Amyotrophic lateral sclerosis (ALS).

Sporah ameandika katika video hiyo kuwa amepokea challenge hiyo na akawapasia kijiti Mwamvita Makamba, Zari (Uganda) Linah na wengine.

“I accept the #ALSicebucketchallenge , I nominate @mwamvitamakamba @zarithebosslady @millardayo @officiallinah”

Comments za mashabiki wengi zilimkosoa kwa kumtaka asiige yanayofanywa Marekani kwa sababu kuna matatizo yetu hapa Afrika na hakuna anaeonesha mfano kama huo.

Ssssssstes – I’m like why are we doing this for? Who started it in Africa and for what. A bit disappointed not confused I guess. Nways wareva

feisalpinto – The Ice Bucket Challenge, sometimes called the ALS Ice Bucket Challenge, is an activity involving dumping a bucket of ice water on one’s head to promote awareness of the disease amyotrophic lateral sclerosis (ALS) and encourage donations to research. It went viral throughoutsocial media during mid 2014. In the United Kingdom, people also participate in the challenge for the Motor Neurone Disease Association. The challenge dares nominated participants to be…. nimeshindwa andika yote ,….ila kwa anaetaka kuendelea kuisoma nendeni (Blog ya Vijana) ipo among the first posts…..#Napita

trap_ole – #Ignorant_whore Flacking with white people problem while we got Ours #shittin #phuckyo

Fast Lane-U accept the challenge from WHO?!…who knows you?smh take several sits pppss!,mnabore kuigaiga,Ebola imekaa muda gani msifanyie kampeni ya kusaidia kuitokomeza,ps hope u did sign the cheq..!

Daniel Manupa-aisee umetisha sana, huku kuiga iga kunatupoteza sana, wtf! unajimwagia mabarafu ili iweje?

Julius S. Mtatiro– Afrika inahitaji Elimu pana sana….
Vìbrãtòr Îrénê Tin- Jaman sometimes ppo need to have fun…Kama nyie mliona anachofanya ni ujinga kwa nn mlitake time yenu na
kuwatch the video na mmeshaona caption kabxa kua she was challenged to du that ice bucket thing si mgepita

James Sofa-vipi huku kwe2 afrika kuhusu Ebola hakuna kampeni yeyote???

Abou Dalgubay-sio kila wanachofanya watu kwenye mitandao na sisi tuige… maji ni resource muhimu sana hususan Africa… mnaanza upuuzi huu then kila mtu atawaiga… leo wewe utasema ni litre moja tu ya maji/barafu… jee watanzania milioni moja wakimwaga zitakua litre ngapi??? acheni upogo wa west.. kama mnataka kutoa msaada wa huu ugonjwa mchangie tu…

Peter Mokami-Tatizo Waafrika wameshikiwa Akili na Wazungu,.MAANA YAKE NINI SASA??

TheArk Boulevard– Really.???
We should campaign for Ebola instead….

Abdulkadry Issa Mntambo– We got ebola. You coukd have done it to encourage people to challenge ebola and make donations for ebola. Gud idea but do that for what africa is facing. Thanx

Related Articles

Back to top button