HabariMichezo

SportPesa watoa tamko baada ya Yanga kutangaza mdhamini mpya

Mdhamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Kampuni ya SportPesa imetoa taarifa ya kusikitishwa kwake na uamuzi uliochukuliwa na Uongozi wa Young Africans SC wa kukiuka makubaliano ya kimkataba na kuzindua jezi mpya zenye jina la mfadhili mwingine.

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents