Habari

Steve Nyerere akataa uchungaji kisa Zumaridi, atamani Uislamu (Video)

“nitaitwa Salim, mimi sitafuti kiki, baa zimegeuzwa makanisa”

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza @stevenyerere2 amedai ataendeleza kampeni yake yakupinga wachungaji aliowaita ‘wamchongo’ kutokana na sakata la Mchungaji Zumazidi ambaye amekuwa gumzo kutokana na kauli zake.

Steve amedi anaheshimu sana Uislamu kwa kuwa hauchezewi tofauti na dini zingine ambapo ametamani hata kubadili dini

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents