BurudaniHabari

Steve Nyerere akifuatilia kwa makini kikao cha 58 Bungeni Dodomo

Wasanii wa Filamu @stevenyerere2 na @monalisatz wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge jijini Dodoma, kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano.

Wasanii hao wakionekana kufuatilia kwa makini Kikao cha 58 cha Bunge la 12 Leo Bungeni Dodoma.

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents