Steve Nyerere aunguruma kuhusu kauli za Mbunge Mpina
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao @stevenyerere2 amemvaa Mbunge wa Kisesa Mpina baada ya hivi kutoa taarifa ambayo amedai ina lengo la kukigawa chama cha Mapinduzi.
Steve amewataka wana CCM kuacha kumjibu kwani anatafuta sababu kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya jimbo lake.
Bonyeza link hapa chini kuangalia video kamili:
Imeandikwa na Mbanga B.