Uncategorized

Stoke City yamtangaza kocha mpya wa timu hiyo baada ya kumtimua kazi Gary Rowett

Klabu ya Stoke City imemtangaza, Nathan Jones kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Gary Rowett aliyetimuliwa kazi siku ya Jumanne.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 amerithi mikoba ya Gary Rowett ambaye ameonyesha kiwango duni huku akiwa ndani ya klabu hiyo si chini ya miezi nane.

Jones si kocha mwenye jina kubwa Uingereza lakini ameonyesha mafanikio tangu kuteuliwa kukiongoza kikosi cha Luton Town FC Mwezi Januari mwaka 2016.


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents