Burudani
StoneBwoy aachia Jejereje, mashabiki waipokea kwa shangwe
Star Kutokea Ghana @stonebwoy ameachia kazi Yake mpya “Jejereje”
Stonebwoy anasema wimbo huu ni special na wa maana sana kwa sababu ni sound tofauti sana na sound ambayo mashabiki zake wamezoea ya Dancehall.
Audio na Video zote ziko hewani na zinapatikana katika Digital Platforms zote!!
Stream🔥!!!