MuzikiVideos

Suma Mnazaleti afanya back to back, aachi ‘Mikausho buku jero (+ Video)

Moja ya wasanii walifanya vizuri kipindi cha nyuma kunako kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva ni Suma Mnazaleti ambaye alitamba na ngoma kadhaa ikiwemo Chuku time aliyemshirikisha Ommy Dimpoz lakini pia Ndele aliyofanya na Baraka De Prince.

Mwezi uliopita Suma aliachia ngoma yake ya Noma sana na sasa ameachi freestyle ya Mkausho Buku jero.

Nakuwekea link hapa chini kuisikiliza ngoma hiyo.

Related Articles

Back to top button