Swae lee amuomba S2kizzy amtengenezee beat

Mtayarishaji wa muziki (Producer) kutoka ardhi ya Tanzania Zombie @s2kizzy ambaye kwa sasa amekuwa na mahusiano mazuri na wasanii mbalimbali hada kutoka nchini Marekani.

Leo hii ameshare meseji alizochati na Rapa kutoka nchini Marekani Khalif Malik Ibn Shaman Brown alimaarufu @swaelee ambapo wamejaribu kujadiliana kuhusu kumtengenezea beat.

Kwa mujibu wa Zombie @s2kizzy @swaelee amemuomba amtengenezee beats kadhaa .

Related Articles

Back to top button