Sweet Love: Nameless na Wahu waadhimisha miaka 9 ya ndoa yao, watumiana ujumbe mtamu

Si jambo rahisi kwa ndoa ya mastaa kudumu kwa miaka mingi ikiwa bado imara, lakini hilo limewezekana kwa couple ya mwimbaji wa ‘Nasinzia’ David Mathenge aka Nameless na mwimbaji wa ‘Sweet Love’ Wahu Kagwi Mathenge maarufu kama Wahu wa Kenya, ambao leo (September 10) wanasheherekea miaka 9 ya ndoa yao na kuudhihirishia ulimwengu kuwa ‘MV Mapenzi’ yao bado inakata mawimbi.

wahu-n-nameless

Kupitia Twitter wazazi hao wa watoto wawili wameandikiana ujumbe mzuri kusheherekea siku yao.

Tweet ya Nameless kwa mke wake Wahu:

“Today It’s been 9 years since we said “I do!” we still strong! Happy anniversary to the love of my life @wahukagwi” Tweet ambayo Wahu ameretweet.

Wahu naye alijibu:

“9 years since you stepped out of that boat and into my arms. With your father’s blessings. love you @wahukagwi”. Nameless pia ali retweet.

Related Articles

Back to top button