Michezo

TAARIFA:Kocha Miguel Gamondi afutwa kazi rasmi Yanga (Video)

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi afutwa kazi rasmi baada ya kusitishiwa mkataba na klabu yake leo hii.

Yanga kwa sasa tayari washapata mbadala wake na muda wowote kuanzia sasa watamtangaza Mbadala wa Miguel Gamondi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents