HabariMichezo

Taifa gani la AFrika unalipa nafasi ya kufanya vizuri Kombe la Dunia??

Michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA ya 2022 itakuwa inafanyika kwa mara ya 22, kuangazia ubingwa wa kandanda wa kimataifa wa miaka minne unaoshindaniwa na timu kuu za kitaifa za vyama vya wanachama wa FIFA.

Michuano hiyo ya Kombe la Dunia ambayo huwa na hamasa kubwa katika kandanda inaanza kufanyika kuanzia tarehe 20 Novemba hadi 18 Desemba 2022 huko Qatar.

Na kama bara jingine lolote lile, Afrika inawakilishwa na Cameroon, Ghana, Morocco, Senegal na Tunisia.

Kati ya mataifa hayo matano yaliyopata nafasi kombe la Dunia 2022 Qatar ambalo linaanza mnamo tarehe 20 mwezi huu, taifa gani unalipa nafasi ya kufanya vizuri zaidi??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents