Mahojiano

Taji Liundi: Media zinabania wasanii wachanga zina wasanii wao, ndio maana machawa wanaongezeka (+ Video)

Mkongwe kwenye tasni ya habari Taji Liundi hivi majuzi amejitokeza kwa kumkanya mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva H Baba kwa vitendo vyake vya kuendelea kutengeneza ugomvi na wasanii wengine hasa Diamond.

“Nilimkanya H Baba akatulia ingawa watu walihisi mimi nipo upande wa Diamond lakini uhalisia Harmonize ni mdogo kwa Diamond, kama mimi namchukia Harmonize mbona alinialika nikazindue lebo yake ?

Taji aliongeza kuwa “Kiukweli media zinabania wasanii wachanga na cha kushangaza kila media ina nyimbo zake na wasanii wake hiki ni kitu cha ajabu na ni tatizo kubwa sana itabidi tuwape ukweli watangazaji wa vipindi vya burudani”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents