Michezo
TAKWIMU: Dimba la Mkapa laingiza tsh 1,874,452,000, CCM Gairo waburuza mkia 195,000
Uwanja wa Benjamin Mkapa umeingiza jumla ya tsh 1,874,452,000 na hivyo kuongoza kwa mapato ya Mlangoni katika msimu wa 2020/2021.
Imeandikwa na @fumo255