TAKWIMU: Uwanja wa Benjamin Mkapa waongoza kwa mashabiki wengi 2020/21, Jamhuri Dodoma wafuata

Uwanja wa Benjamin Mkapa umefanikiwa kuongoza kwa kuwaingiza mashabiki wengi zaidi msimu 2020/2021 ukilinganisha na viwanja zaidi.


Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Benjamin Mkapa imeingiza washabiki 274273, nafasi ya pili ikichukuliwa na Uwanja wa Jamhuri Dodoma ambao uliingiza 52467.

 

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button