Michezo

TAKWIMU: Yanga yaongoza kwa kuingiza mashabiki 2020/21, Simba na Dodoma Jiji FC zafuata

Klabu ya Yanga SC imeongoza kwa kuingiza mashabiki wengi zaidi kwenye uwanja wake wa nyumbani msimu wa 2020/2021 kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wananchi wameingiza jumla ya ya mashabiki 141,681 katika uwanja wake wa nyumbani msimu huu uliyomalizika ukilinganisha na Simba SC ambao waliingiza washabiki 138,518.

 

 

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents