Burudani

Tamasha la Jay Z lafutwa

Tamasha la Msanii Mkubwa nchini Marekani na Duniani kwa Ujumla kwenye upande wa Hip-hop Jay Z linalotambulika kama (Made in America) halitafanyika Mwaka huu 2024 ikiwa ni mwaka wa Pili mfululizo waandaaji wa Tamasha hilo wanahairisha bila kueleza sababu yoyote ile.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents