Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Tamko la Diamonnd kusimama kwenye muziki lamuibua Drogba

Baada ya @el_mando_tz kuzungumza juu ya ukimya wa Diamond kwenye muziki kwa sababu ya kusimamia media yake ya Wasafi hatima Diamond ametoa tamko rasmi kupitia Instagram yake.

Diamond ameeleza sababu za yeye kuwa kimya kwenye upande wa muziki akieleza kuwa bado anasimamia media yake kuna vitu havijakaa sawa kwahiyo atakapomaliza atarudi kwenye muziki.

Kauli hiyo imemuiua aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Didier Drogba ambaye amekuja ku-comment kwenye post hiyo huku Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa akipigilia msumari namna ya umahiri wa Diamond jukwaani.

Baada ya ukimywa ule mashabiki wa Diamond wiki hii walienda mpaka ofisini kwake akishinikiza kumtaka msanii wao kutoa nyimbo na jibu hili la Diamond linaweza kuwa kuwa zuri na kupokelewa vizuri na amshabiki wake.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents