Michezo
Tamko la Wizara kuhusu mechi ya Simba na Yanga
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imekutana na kufanya kikao cha mashauriano na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF). Bodi ya Ligi, Baraza la Michezo Nchini (BMT) na Klabu za Simba na Yanga.