Habari

Tanzania Idadi ya Kuku yaongezeka Waziri Ulega

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Idadi ya kuku Nchini Tanzania imeongezeka kutoka milioni 97.9 hadi milioni 103.1 ambapo kuku wa asili (kienyeji) wameongezeka kutoka milioni 45.1 hadi milioni 47.4, kuku wa kisasa wameongezeka kutoka milioni 52.9 hadi milioni 55.7.

Akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka 2024/2025, Ulega amesema “Serikali inatoa ruzuku ya dawa za kuogesha mifugo lita 56,000 katika mikoa 25 na mashamba ya wizara na taasisi zake zenye thamani ya shilingi bilioni 2.5, ambayo imepunguza vifo vya mifugo kwa asilimia 8”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents