BurudaniHabariMichezo

Tanzania na Rwanda kushirikiana kwenye TEHAMA

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mheshimiwa Meja Jenerali Richard Makanzo (katikati), akibadilishana mawazo na Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari-Tanzania Dkt. Jim Yonazi (kulia), kwenye dhifa fupi ya ushirikiano na wadau wa mawasiliano iliyoandaliwa jijini Kigali, Rwanda pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa Maendeleo ya Mawasiliano Duniani wa Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU-WTDC-2022).

Tanzania imetumia fursa hiyo kuomba uungwaji mkono ili kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Baraza-Tendaji la ITU kwenye Mkutano Mkuu wa Shirika hilo unaotarajiwa kufanyika Septemba 2022 jijini Bucharest, Romania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents