Technology

Tanzania nafasi ya 6 Afrika kwa unafuu wa data – TCRA

Siku ya leo mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa ufafanuzi juu ya bei za vifurushi vya Data nchini Tanzania huku wakitoa takwimu zinazoonyesha Tanzania inashika nafasi ya 6 barani Afrika kwa unafuu wa data za mitandao  lakini pia kwa nchi za Afrika Mashariki inashika nafasi ya kwanza kwani Bei ya data kwa sasa inaanzia Tsh. 15 / MB hadi Tsh. 9.35/ MB, Tsh. 9.35/ MB”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents