FahamuHabari

Tanzania nafasi ya 8 Afrika bajeti ya Ulinzi, Algeria namba 1 Kenya ya 7

Kwa mujibu wa jarida maarufu duniani linaloshughulika na kutoka data mbalimbali na bajeti za taasisi, makapuni na mataifa mbalimbali katika matumizi ya kiulizi la Global Firepower limetoa ripoti ya bajeti ya majeshi katika mataifa 10 yenye nguvu Kijeshi barani Afrika.

Katika orodha hiyo Jeshi la Ulinzi la Ageria limeshika namba moja kwa kuwa na bajeti ya dola bilioni 21.6 ambayo ni zaidi ya Tsh Trilioni 54.8

Tanzania Jeshi lake linagharimu dola bilioni 1.9 ambazo ni sawa na Tsh 4.82 ikipitwa na taifa la Kenya lenye dola bilioni 2.2 sawa na Tsh 5.58

1. Algeria  ($21.6 billion)

2. Morocco  ($12B)

3. Egypt  ($9.4B)

4. Nigeria  ($4B)

5. Libya  ($3.4B)

6. South Africa  ($2.7B)

7. Kenya  ($2.2B)

8. Tanzania  ($1.9B)

9. Botswana  ($1.64B)

10. Angola  ($1.62B)

From: Global Firepower.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents