Habari
TANZIA: Mtangazaji mkongwe Gerald Hando afiwa na Mke wake
TANZIA: Mtangazaji Mkongwe nchini Tanzania @geraldhando amefiwa na mke wake.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa
“PUMZIKA KWA AMANI MKE WANGU KIPENZI. BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE🙏🏿”
Kupitia kwenye taarifa yake hajaweka wazi chanzo kilichopelekea umauti ni kipi, Bongo5 tunaendelea kufuatilia kwa ajili ya Updates zaidi.
Bongo5 Media Group inatoa pole kwa familia yake kwenye wakati huu Mgumu anaopitia🙏🏿🙏🏿.
🎥 via @geraldhando Credit by @el_mando_tz