Burudani

TANZIA: Mussa Babaz alikuwa nguzo ya wasanii, wasanii wamlilia (Video)

Promota, Meneja wa wasanii na mdau wa mkubwa wa muziki Afrika Mashariki Mussa Babaz maarufu Babaz wa Babaz amefariki dunia Machi 13 huko nyumbani kwake Nairobi Kenya.

Msanii Stamina Shorwebwenzi, Roma Mkatoliki kutoka kundi la Rostam alilokuwa akifanya naye kazi pamoja na wasanii wengine wameonyesha kumlilia mdau huyo mkubwa wa muziki.

Taarifa zinadai mdau huyo amefariki dunia Jumatatu ya tarehe 13 , 2023 na kuzikwa katika Makaburi ya Bakarani kwa mujibu wa msanii wake wa muziki, Chipuzee.

Mdau huyo enzi za uhai wake alifanya mahojiano na Bongo5 akiwa mkoani Tanga kwaajili ya Miss Tanga ambapo alifunguka jinsi ilivyongumu kufanya kazi na wasanii. Aliwataka wasanii kuwa na shukrani kwa watu ambao wanaonyesha nia ya kuwasaidia katika harakati zao za kimuziki

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents