FahamuHabari

TANZIA: Tina Turner alikuwa na matatizo ya Figo, Saratani na Kiharusi

Mwanamuziki mkongwe maarufu kama Queen of Rock and Roll Tina Turner amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83 nyumbani kwake Zurich Switzerland.

Mwanamuziki huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kadhaa ikiwemo kufeli kwa Figo, saratani na kiharusi (Stroke)

Alipata umaarufu katika miaka ya 1960 na nyimbo zake ikiwemo Proud Mary na River Deep, Mountain High.
Ameacha watoto wanne.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents