Habari

TANZIA: Prof. Ngowi afariki kwa ajali ya gari

Prof. Honest Ngowi ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe na Dereva wake, wamefariki kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuelekea Kampasi Kuu Morogoro

Ajali imetokea Machi 28, 2022 asubuhi maeneo ya Mlandizi, Pwani. Ajali ilihusisha magari matatu (Noah, Land Cruiser na gari lililobeba kontena). Gari lenye kontena liliacha njia na kuigonga Noah na kuilalia Land Cruiser.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents