Habari
Tanzia: Profesa Mwesiga Baregu afariki
Aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Profesa Mwesiga Baregu amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu.
Profesa Baregu alikuwa mhadhiri wa vyuo vikuu mbalimbali nchini pia alikuwa mlezi wa vijana wa chama hicho.