Michezo

TANZIA, YANGA

𝐓𝐀𝐍𝐙𝐈𝐀

Uongozi wa Young Africans Sports Club tunapenda kutoa pole kwa mchezaji wetu Chadrack Boka, kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi kilichotokea Tarehe 11/01/ 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo.

Uongozi wa Young Africans unaungana na wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na unawataka wanafamilia wote kuwa na subira.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amina

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents