Burudani

Taylor Swift aikatia miguu yake bima ya zaidi ya shilingi bilioni 73!

Miguu ya muimbaji wa Marekani Taylor Swift ina thamani ya $40 million! – ripoti.

Taylor Swift Desktop Background
Taylor Swift

Inadaiwa kuwa Taylor Swift ameikatia miguu yake bima ya dola milioni 40 (zaidi ya shilingi bilioni 73 za Tanzania).

Taylor-2

Taylor (25) anatarajia kuanza ziara yake ya dunia mwezi May mwaka huu, hivyo timu yake inasemekana imeona ni vizuri kuchukua tahadhari ya miguu ya staa huyo kwa ajali yoyote inayoweza kujitokeza wakati akifanya maonesho yake, chanzo kimeliambia jarida la National Enquirer.

Taylor-3

“It seems like a ludicrous sum, but if something was to happen to her legs, Swift wouldn’t be able to give her signature stage performances, Her $200 million career would be in big trouble.” kilisema chanzo.

Related Articles

Back to top button