TBC yaingia mkataba wa mabilioni na TFF

Shirika la utangazaji nchini (TBC) limeingia mkataba wa miaka 10 na Shirikisho la Soka nchni (TFF) wa kurusha matangazo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa upande wa redio.

Mkataba huo wa miaka 10 una thamani ya shilingi bilioni 3.54 na utaanza kwenye msimu wa 2021-2022.

 

Related Articles

Back to top button