Mlindalango wa Wekundu wa Msimbazi @simbasctanzania Mohammed Mwameja akiwaongoza wachezaji wa timu hiyo kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kuwakabili timu ya Stella Club D’Adjame ya Ivory Coast Mchezo wa Fainali ya Kombe la CAF.
Kwenye Fainali hiyo liyopigwa Novemba 27, 1993 Mnyama Simba SC alipokea kipigo cha goli 2-0.
Imeandikwa na @fumo255