Tragedy

TECNO CAMON 16 yatikisa sokoni camera 4 nyuma MP48 flash 4 zenye kasi ya ajabu, GB 128 + GB 8 RAM zawavutia wateja (+Video)

TECNO CAMON 16 ni simu mpya kabisa kutoka kampuni ya TECNO ambayo imezinduliwa hivi karibuni na kuingia rasmi katika soko la Tanzania.


Simu hii yenye kamera nne nyuma ina uwezo mkubwa wa kupiga picha katika mazingira mbalimbali ikiwezeshwa na kamera kuu yenye MP48, ambapo tayari walioitumia kamera ya CAMON 16 wanaeleza kuwa ni yenye ubora katika mazingira yotote ikiwezeshwa na flashi 4 zenye nguvu.

Pamoja na uzuri wa kamera, kwa upande wa memori CAMON 16 ina GB 128 ROM kwa GB 8 RAM hii inamwezesha mtumiaji kuhifadhi vitu vyake kadiri awezavyo huku simu ikisalia kuwa ufanisi mkubwa katika mifumo endeshi yake yaani bila kukwamakwama.

Upande wa skrini CAMON 16 ina skrini kubwa yenye inchi 6.6 na ni HD+ ambapo mtumiaji anaweza kufurahia picha, video pamoja na kucheza games.

TECNO CAMON 16 inawezeshwa na android 10 huku mtandao wake wa internet ukitumia 4G kwa sehemu zote za laini huku ikiwa na rangi tatu Misty Grey ,Ice Jadeite,Blue Hawaii.

Kujua zaidi tafadhali tembelea ukurasa wa instagram “tecnomobiletanzania” au bofya link hii;
https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents